News

Hii ni kwa old boys and Girls wa Pandahill high school nimetumwa na Mhe Sylvanus Alex Kufikisha Ujumbe huu kwenu na nadhani  wanafunzi wengi wajana wa Pandahill wako facebook Tafadhali tunaomba email zenu wote kwa ajili ya maandalizi ya Blog ya Chama Pia tunapenda kuwatangazia Kuwa sasa ni wakati maalum kwa ajili ya kuwasiliana kama ndugu wa pamoja. Tumefungu email address yetu nayo ni oldspandahill@gmail.com na pia Blog yetu itakuwa oldspandahill.blogspot.com Tungependa kuwa na orodha rasmi ya wanachama najua kunawatu hawakubariani na hii.
Tafadhali tutumie email
oldspandahill@gmail.com ili tuwe na email yako na itakusaidia kupata matangazo ya haraka zaidi automatic bila kuangaika Tafadhali ukipata hii MJULISHE RAFIKI YAKO AU  MKE AU MUMEO WA ZAMANI ALIYESOMA PANDAHILL